Search This Blog

Saturday, June 26, 2010

TANGAZO LA MATOKEO NA AJIRA YA WAALIMU 2010

ORODHA YA WALIMU WAHITIMU WA DARAJA LA IIIA NA
STASHAHADA WALIOPANGWA KATIKA HALMASHAURI ZA
KUFANYIA KAZI MWAKA 2010
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inawatangazia wahitimu wote wa
Mafunzo ya Ualimu wa Daraja la IIIA na Stashahada mwaka 2010 kuwa
orodha ya majina ya wahitimu waliofaulu na kupangwa katika
Halmashauri itapatikana katika Tovuti ya Wizara
(www.moe.go.tz) mara baada ya matokeo kutolewa na Baraza
la Mitihani Tanzania. Aidha, orodha hiyo pia itatumwa katika kila
Mkoa na Halmashauri husika ili muweze kupangiwa vituo vya kazi.
Inatarajiwa kuwa matokeo ya mitihani hiyo yatatangazwa Mwezi Agosti,
2010.
KATIBU MKUU
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
14/6/2010

Sunday, June 13, 2010

THE STAFFMR. MSUYA, THE DIRECTOR

MR. MAGODI K. SCIENCE TUTORMS EDINESTA ULOMI, MATRON

MR. MJEMA I. LANGUAGE TUTORMR. KIVUMA R.
MR TAPHAEL CYPRIAN, ACCOUNTANT
MR. SINGANO, VICE PRINCIPAL

MR. C. MGANGA, THE PRINCIPAL


MR. ERICK KANANA, ACADEMIC OFFICER